Kaa Tayari;Endru G kuja Na Ngoma Mpya"Sholela"Hapo Kesho
Baada ya Kukaa Kimya Kwa muda Mrefu
Sasa Endru G aje Kivingine na Kesho ndo mzigo inaingia maskioni
Mwako.Ngoma inaitwa Sholela Iko Poa Sana na..> Amesema Hii ni zawadi kwa
mafans wake Wote.+dj paul
Sholela inamhusu msichana mapepe
asiyetulia ambaye alikuwa Dem wa Endru G ila Tamaa zilimponza na
kujikuta anaingia kwenye Penzi la Muosha Magari akijua ni Pedeshee kumbe
lofa.
Zaidi Subiri Kesho.Ni shidaaaaaah.
No comments:
Post a Comment
paulmkale