Kaa Tayari;Ray C kuachia wimbo mpya MshumMshum (kiss kiss) November hii
Licha ya kuwa nje ya muziki kwa muda mrefu lakini Ray C amesema
anatarajia kuachia singo mpya aliyoipa jina la ‘MshumMshum (kiss kiss)
Vovember hii.
Kupitia Instagram Ray C ameandika jinsi alivyoimiss mic na jukwaa,
“Hello to all my fans around the world!kiukweli nimemiss sana jukwaa na
Mic……….I just can’t wait to release my new single called MshumMshum
(kiss kiss)Hata mi nimechoka kusubiri!!!!!@babutale tym ndio hii
November ndio hiyooooooo Muda umefika,I have eight songs on my new album
hopefully mtazipenda tena saaaaaaaaaaaaaaaaanaaaa!RAAAAAY CCCCCCC IS
BAAAAACKKKKKKKKKK!!!”
No comments:
Post a Comment
paulmkale