Kaa Tayari;Waje Kuja Na Video Mpya Aliyomshilikisha Diamond Platinumz Hizi Ni icha(PICHA)
Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika
Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na
msanii wa...> Nigeria, Waje.
Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town.
Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigia
Diamond na Waje wakiwa location
Picha hii iliweka Instagram na Jesse Ebuka Okoli aliyeandika:On
set yesterday with the ever amazing @officialwaje ft diamond #Coco baby
music video shoot. ❤️I bet y’all the song is one to listen to,the beat
is fresh and as always Waje gave the finishing touches with her super
sweet voice
No comments:
Post a Comment
paulmkale