KALA JEREMIAH kuzindua “USIKATE TAMAA” Video pamoja na Audio Jumapili hii ndani ya NEW MAISHA CLUB
Wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop nchini
Kala Jeremiah akishirikiana na msanii mkongwe wa R&B anajulikana kwa
jina la Nuruwell unatarajiwa...> kuzinduliwa rasmi siku ya Jumapili tarehe
23 mwezi huu wa 11 pale New Maisha Club ya hapa Dar. Kala anasema watu
watakaofika siku hiyo ndio watakuwa watu wa kwanza kusikiliza wimbo huo
na kuona video ya wimbo huo, uzinduzi huo utasindikizwa na wasanii
wakali kama BEN POL, STAMINA, MO MUSIC, NEY LEE pamoja na NURUWELL.
NJOO UWE WA KWANZA KUSIKIA NA KUONA UJIO MPYA WA KALA JEREMIAH
No comments:
Post a Comment
paulmkale