Kuhusu Wimbo Mpya Wa Kala Jeremiah,Unatoka Lini Na Kwanini Kapania.

Rapper Kala Jeremiah amezungumzia kufunga mwaka kwa style baada ya kujipanga kutoa wimbo mkubwa kama 'Dear God' ilivyokuwa...>

Kwenye interview na Kala Jeremiah amesema "Mwezi wa 11 hautaisha nitaachia wimbo ambao utamgusa kila Mtanzania, unamuhusu kila moja, Kiukweli huu wimbo watu wakisikiliza watalia, Ukisikiliza mwanzo mpaka mwisho wa wimbo utatoa machozi, sijawahi kufanya wimbo kama huu kwenye maisha yangu ya muziki "

Wimbo wa mwisho kutoka kwa Kala Jeremiah ulikuwa Simu Ya Mwisho aliyofanya na Nay Wa Mitego na Mo Music.

No comments:

Post a Comment

paulmkale