Shetta Akanusha Kuwa Hana biffu na Alikiba Soma Hapo Chini
Msanii ambae tumezoea kuskia akifanya collable takriban kila ngoma
ambayo amwahi kutoa, jana amejikuta akipokea maneno machafu kutoka
kupitia...> kwenye mitandao ya kijamii, baada ya baadhi ya blogs kuandika
kuwa ana bifu na Alikiba na hawezi kufanya nae collable Leo hii Shetta ameonyesha kusikitishwa na kitendo hicho na kujitetea
kuwa alipigiwa simu na mtanagzaji mmoja na kumuuliza kuhusu collable
yake na alikina na ndipo aliposhtuka na kusema yeye hana colable na
Alikiba na wala saa hii hana mpango wa kuwa na collable na msanii yoyote
wa ndani wala wa nje
"Alikiba mi sina tataizo nae kabisa wala msanii yoyote Tanzania, lakini
kitu ambacho nimekiona tangia jana na leo kwenye baadhi ya bogs na
habari tofauti tofauti kwamba "angali shettah alichojibu baada ya
kuulizwa collable na Alikiba" kwanza nianzie kwenye hiyo story,
niliulizwa kwamba kuhusu collable lako na Alikiba, mi nikawa nimeshtuka
sababu sina collable na Alikiba na sijafanya yaaani kabisa collable na
Alikiba lakini nilichokijibu ni kwamba "Sijafikiria kufanya wimbo na
msanii yoyote Tanzania kwa sasa hivi , nikatoa sababu, sababu nimefanya
collable nyingi sana hapa ndani, kwahiyo nilichokijibu ni kwamba kiroho
safi tu kwamba sifikirii kufanya kazi na msanii wa ndani labda nifanye
na international artist kwasababu labda ya kunisongeza zaidi zaidi
mbele au nifanye wimbo peke yangu," amesema Shettah
Ofcourse kama inafika time nahitaji kufanya kazi na Alikiba na yeye yupo
willing tutafanya wimbo, ameendelea kuongea Shettah, lakini sijawahi
kuhit au kutoka katika mziki wngu kwa kumsema mtu vibaya au kujaribu
kuzungumza kitu kibaya ili ije iwe story watu wazungumze, kwahiyo
nilichokijibu nilikuwa sawa kutokana na swali nililoulizwa, kwahiyo
baada ya kuja kugeuka na zile headline zilizoandikwa kwenye blog
mbalimbali, watu kuja kunitukana kuzungumza vibaya kwenye social
network, kwenye page yangu, imekuwa tatizo, kwangu mimi si kitu kizuri
yaani haijakaa vizuri kwa upande wangu.
No comments:
Post a Comment
paulmkale