So Hemedy PHD amesema nyimbo gani 5 za Afrika Mashariki ni bora kwake?

Tunamfahamu kupitia single zake kwenye kiwanda cha muziki bongo lakini pia movie zake kwenye kiwanda cha movie Tanzania, Hemedy PHD ni...> miongoni mwa mastaa wa bongo ambao huwa hawaoni soo kuandika yao ya moyoni kwenye mitandao ya kijamii.

Aliichukua time yake kuandika kwenye twitter ni single gani za muziki wa Afrika Mashariki ambazo ni bora kwake ambapo kwenye list hiyo ni msanii mmoja tu ambae amechukua nafasi mbili kati ya watano waliochaguliwa.

Namba 1 ni Nipo ya Mr. Blue 2. Queen ya Longombas wa Kenya 3. Where you are – Blue 3 wa Uganda, 4. Tabasamu ya Mr. Blue na ya tano ni Run dunia ya Ali Kiba.

No comments:

Post a Comment

paulmkale