VIDEO MPYA YA 'AY' - "TOUCH ME" KUACHIWA JUMATATU 24/2014.

Baada ya ahadi nyingi hatimaye AY ameweka mezani tarehe rasmi ya kuachia video ya wimbo wake aliomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti, itatoka Jumatatu ya..>Nov.24.

“Hello, It’s Me Again… Ha Ha Ha, Unaweza Kusahau Kila Kazi Ambayo Nimefanya Ili Tuanze UPPPPYAHH Na Hii?! S/O To @seankingston And Ms Triniti For Blessing This One, Some People Said This Will Stay On Airwaves For Sometime, And It Will Go Down As A Classic… I Believe Them Because That Was The Whole Idea.

Nasema Asante… Asante Sana.

The Release Date: 24.11.2014 MONDAY” AY ameandika kwenye mitandao ya kijamii.

No comments:

Post a Comment

paulmkale