Wakati Weusi wakiwa Arusha,Hii ni hapa Dar usiku wa leo inaitwa Instagram Party.

Watu wangu wa A Town najua mnajipanga panga kwa ajili ya party ya nguvu kutoka kwa Weusi ambao wameamua kuanzia nyumbani kwenye....> tour yao,Nikki wa pili,G Nako,Joh Makini,Bonta na Lord eyes watakuwa kwenye jukwaa moja.

Instagram Party Hii ni party nyingine ambayo imekua ikiwakutanisha wale members wa Instagram na ambao hawajajiunga na mtandao huu kukutana na kushare story kadhaa kwenye usiku mmoja.@paulmkale.com

Dar es salaam ni mara ya 3 kufanyika kwa party hii,mikoa mingine iliyoenda party hii ni pamoja na Mbeya na Mwanza,hii inafanyika Escape One pembeni kabisa ya bahari ya hindi,karibu tukutane tupige picha na story.

No comments:

Post a Comment

paulmkale