909_-Njoo Hapa[NEW AUDIO]@paulmkale
Baada ya mafanikio mbali mbali yakiwemo kuachia Mixtape yao ya kwanza (Here
Goes Nothing), na kuperfom kwenye stage mbali mbali kwa mwaka 2014 sasa
Mwaka unavyoelekea ukingoni,kundi la muziki 909 wanakuetea wimbo wa
kusikiliza na uwapendao msimu huu wa Kristmasi, ikiwa bonus track ya Album
yao inayotarajiwa kutoka mwanzoni mwa mwaka 2015
[image: https://mkito.com/song/njoo-hapa/8851]
No comments:
Post a Comment
paulmkale