Joh Makini (@JohMakini) Ajiunga na MKITO tayari kudondosha XO
Joh Makini Toka WEUSI KAMPUNI ajiunga Rasmi www.mkito.com
na ifikapo Alhamisi tarehe 11 Desemba hii ataachia rasmi Ngoma yake
mpya kwa jina la....
“XO” aliomshirikisha @gnakowarawara ikiwa ni HipHop
category toka kwa Producer Sappy aliye Nchini Kenya,
SIKILIZA KIONJO HAPA
http://goo.gl/yaTCHG
Official Video Release chini ya Director @nisherbybee itakuwa Tarehe za
jirani hivyo huku Tukisubiri Mzigo Kamili, Follow @joh_makini Powered
by @mkitodotcom @vmgafrica @defxtro Pakua Ngoma zote za Awali toka kwa
Joh Makini aka Mwamba HAPA
No comments:
Post a Comment
paulmkale