Alikiba asema ‘soon’ ataachia wimbo na video mpya
Msanii wa muziki, Alikiba amesema kuwa baada ya kuona wimbo wa “Mwana”
umefanya vizuri anatarajia kuachia wimbo mpya ambao utakuja pamoja na
video. Akizungumza na Planet Bongo ya EATV, Kiba amesema hana muda wa
kusubiria kama mwanzo, sasa hivi ni ngoma baada ya ngoma. “Kinachofuata ni
kazi kama nilivyo wa-promise before, hakuna gape.
No comments:
Post a Comment
paulmkale