Cassim Mganga - Moto Moto (Official Music Video)

Hatimaye Cassim Mganga a.k.a Tajiri wa mahaba ameachia video ya wimbo wake ‘Moto Moto’ iliyoshutiwa toka mwaka 2013. Mwaka jana Mganga alikanusha taarifa kuwa video hiyo imeharibika kutokana na kuchelewa kutoka, na kusema kuwa video ilikuwepo lakini ilikuwa inahitaji kuongezewa vipande vichache na kutoka (Ingia hapa). Video ya ‘Moto Moto’ imefanywa na kampuni ya Ogopa.

No comments:

Post a Comment

paulmkale