Chege Ft Mh Temba & DJ Mapholisa – Kaunyaka[NEW AUDIO]@paulmkale

Chege (@ChegeChigunda) na Mh Temba leo hii wameachia wimbo wao mpya waliomshiriskisha Dj Maphorisa kutoka South Africa ambae amesimamia production ya wimbo huu, na kuingiza vocal pia. wimbo unaitwa "Kaunyaka" umetengenezwa nchini South Africa na video imeshakamilika na ikifika tarehe 7 mwezi wa pili ndio utaiona video hiyo kupitia Tv stations mbali mbali.

Download hapa:Audio hii

No comments:

Post a Comment

paulmkale