Hizi hapa info za ngoma mpya ya AY"Zigo"

Elchapo aka Ambwene Yessaya aka AY anatarajia kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Zigo’ February 02, 2015 uliyofanywa na mtayarishaji wa muziki Nahreel na kufanyiwa mixing na Marco Chali.

AY amesema kuwa wimbo wake mpya ‘Zigo’ sio collabo, Ana collabo nyingi tayari, hii kaamua kufanya mwenyewe.

No comments:

Post a Comment

paulmkale