Justin Bieber aukaribisha mwaka 2015 vibaya, hivi ndivyo ilivyokuwa (pichaz &video)

Justin Bieber  ameuanza vibaya mwaka 2015 baada ya kuvunjika mguu.

Mkosi huu kaupata ambapo alikuwa akicheza mpira wa miguu katika mazoezi yaliyozikutanisha timu mbili za Turks na Caico, baada ya kuumia aliweka ujumbe mfupi katika mtandao wa Twitter akionyesha kusikitishwa na jeraha alilopata.Bieber aliweka video hii ikionyesha akichechemea wakati akiingia gym.

No comments:

Post a Comment

paulmkale