Jux - Sisikii (Official Music Video)

Hii ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha ambazo zilikuwa behind the scene zikimuonyesha Vanessa Mdee na Jux ambao kumekuwa na story kwamba wana uhusiano wa kimapenzi. Imetoka na imeongozwa na director Zed Benson

No comments:

Post a Comment

paulmkale