Mwana FA Ft Ali Kiba - Kiboko Yangu (Official Music Video)

Hii ni video mpya ya mkali Hamisi Corleone Mwinjuma aka Mwana FA ya Kiboko yangu ni moja kati ya ambazo zimekuwa zikisubiriwa kwa hamu na watu wengi. The song "Kiboko Yangu" produced by Marco Chali of MJ Records.

Video imetayarishwa na Director Kelvin Bosco wa D.M.P. Films.

Ukishamaliza kuitazama mtu wangu usiache kuniandikia lako la moyoni, Mwana FA na Ali Kiba wakipita waone mtu wao umesema nini kuhusu video hiyo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale