Rihanna ft Kanye West & Paul MacCartney - FourFiveseconds(Official Audio 2015)

Staa wa muziki Robyn Fenty Maarufu “Rihanna” ametoa single mpya ‘FourFiveseconds‘ akiwashirikisha mastaa wenzake Kanye West pamoja na Paul MacCartney.

Tangu atoe nyimbo yake ya Jump Rihanna sasa amerudi upya na kuahidi mashabiki wake mambo mazuri zaidi ikiwa pamoja na kutoa albamu yake mpya mwaka huu


No comments:

Post a Comment

paulmkale