Tweet ya kwanza ya President Kikwete toka mwaka 2015 uingie.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo January 3 2014 amezitoa salamu za mwaka mpya kupitia page yake ya twitter @Jmkikwete
Ameandika ‘Nawatakia nyote heri na
fanaka za mwaka mpya wa 2015. Tutazame yale tunayoifanyia nchi yetu
kabla ya kutazama nchi yetu imetufanyia nini’aliandika”– @
No comments:
Post a Comment
paulmkale