New Video: Alicios Theluji - Loved By You (Official Video)

Moja ya hits zilizowahi kufanya vizuri East Africa ni hii collabo ya ALICIOS feat. JULIANA KANYOMOZI‘Mpita Njia’.

Alicios ni raia wa Congo ambaye anaishi Kenya, moja ya sifa kubwa na za kipekee alizonazo ni uwezo wake kuimba kwa lugha nne tofauti, kiingereza, kiswahili, kilingala na kifaransa.

Hapa nakusogezea video ya wimbo wake mpya, ‘Loved By You’ uliofanya na director Johan Lundstane.Itazame hapa

No comments:

Post a Comment

paulmkale