Barnaba amedai kuwa msanii wa DRC, Fally Ipupa ni mtu anayefurahia kipaji
chake. Kwa miaka mingi Barnaba amekuwa na mpango wa kumshirikisha msanii
huyo. Hata hivyo ameiambia Blog hii@paulmkale, kuwa anachoshukuru ni kwamba bado
wanazungumza vizuri ili kuweka mpango huo wa kufanya kazi pamoja. “Kwanza
ni mtu anayenifurahia,” amesema Barnaba.
No comments:
Post a Comment
paulmkale