Madam Ritha, Kajala, Mtangazaji Dida,Shadee,Sauda
Mwilima,Zamaradi,Shilole,Mwasiti na mimi mwenyewe ni baadhi ya watu
maarufu wa kike kutoka sekta mbalimbali waliojitokeza kumuunga mkono
msanii Keisha katika utengenezaji wa video ya wimbo wa 'Simama
Nami'.Wimbo huo unabeba jina la Kampeni yake ambayo inahamasisha jamii
kuacha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi.
Msanii Keisha
Shughuli ilianza kea make up kwa wasanii hao ambapo Diana wa American
Nails ndo alikuwa anasimamia mpango huo kuhakikisha kila mtu
atakayeonekana anapendeza.
Mimi,Grace Matata na Princess
Princess na Queen Darleen
Mwasiti na Princess
Keisha alisema Wimbo wa 'Simama Nami' ni awamu ya kwanza ya kampeni
hiyo.Kwani amesema anaona kama Serikali haiko seriuz na swala la mauaji
ya watu wenye ulemavu wa ngozi hivyo ameamua kujitoa ili kuwatetea
wenzake
No comments:
Post a Comment
paulmkale