New Music: 20% - Atoe/Download

Msanii aliyewahi kushinda tuzo Tano za Tanzania Kili Music Awards Twenty Percent arudi upya na Nyimbo mpya iliyoandaliwa na Production nyingine kabisa ambayo Twenty hakuwahi kufanya Ngoma katika Studio hiyo. Nyimbo aliyoifanya inaitwa ATOE huku ukwa na ujumbe mzito ndani yake, wimbo huu umetayarishwa na(Produced by) Dizzy chini ya studio ya Pure Records iliyopo Moro Town.

Ni time yako sasa kuusikiliza na Kuudownload pia...!!!


No comments:

Post a Comment

paulmkale