Kaa Tayari;Lady jay Dee Kuja na Ngoma mpya
Lady Jay Dee anatarajia kuachia ngoma mpya tarehe Tar;10 April.Ngoma hii itafanyika Africa Kusini na itatoka audio pamoja na video.Ndani ya ngoma hiyo kuna wakali kibao kama Mazet wa Mina Nawe pamoja na Uhuru.
No comments:
Post a Comment
paulmkale