LEO NI SIKU KUBWA SANA KWA WAKRISTO WOTE DUNIANI AMBAO WANAUNGANA PAMOJA
KATIKA KUMBUKIZI YA KUFUFUKA KWA BWANA YESU KRISTO NA KUPAA MBINGUNI AMBAYO
ILIITWA PASAKA. HIVYO GLOBU YA JAMII INAWATAKIA HERI NA FANAKA WADAU WOTE
KATIKA SIKUKUU HII YA PASAKA.
No comments:
Post a Comment
paulmkale