Hit maker wa
‘Hakunaga’, Suma Lee amesema kuwa hatafanya tena muziki kwasababu ameachana
kabisa na maisha hayo
Suma ambaye
alitengeneza pesa nyingi kupitia hit yake ya ‘Hakunaga’, amesema kuwa hana
mpango wa kuzitoa nyimbo zake zilizoko studio ambazo hazijatoka.
“sifanyi
tena muziki na nimeachana kabisa na maisha hayo, na nyimbo zote zilizobaki
studio nimezisimamisha zisitoke baada ya kuzilipia, “ Alisema Suma.
“kuna wimbo
mmoja nimefanya na Cp ambao ndio ulikuwa wa kurudisha kundi la Parklane, pia
nimeuzuia, labda Cp auchukue yeye.Kilichobaki ni kuwaombea wazazi wetu
waliotutangulia, wengine walikuwa hawataki tufanye kazi hizi, kwa kuwa hawapo
na hakuna wakutukataza tena, bora tukae na kuwaombea.”
No comments:
Post a Comment
paulmkale