Baraka Da Prince Ndio Mkali mwingine wa Bongo aliyeingia kwenye playlist ya video zinazoruka MTV Base

Kipindi cha nyuma kidogo wakati muziki wa Tanzania ukianza kusikika nchi za nje, tulikuwa tukiona kitu cha ajabu sana kwa vituo vikubwa vya nje vikipiga muziki wetu.. wengi wetu tulikua na mawazo tofauti na kuona kama jambo la ajabu hivi !
Tuliamini ili video za Bongo zifanye vizuri kwenye television za nje basi ni lazima video hiyo itengenezwe na directors kutoka nje pia, lakini kwa sasa tumeona video kadhaa za Bongo zikipenya tena zikiwa zimeongozwa na directors wa hapa hapa TZ.
Ni furaha kumuona Barakah Da Prince ameiongeza namba ya video za Bongo zinazochezwa na vituo vikubwa duniani kwa sasa, video yake ambayo imeongozwa naKhalfan tayari imeanza kuchezwa na kituo cha MTV Base .
http://paulmkale.blogspot.com/
Baraka Da Prince Ni moja Kati ya wasanii waliopata bahati ya kuingia kwenye kinyanganyiro cha tuzo za KTMA Na usiache kumpa Kura yako kwenye tuzo hizo kama Msanii Bora anayechipukia
 >>>>USISAHAU KUTUFOLLOW INSTAGRAM KAMA DJSOSYOFFICIAL
http://paulmkale.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

paulmkale