New Video: Diamond Platnumz Feat Mr Flavour - Nana(Official Video)
Ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz
ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video
imefanywa na GodFather mtu wangu.
Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya
macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita
na kusoma comment yako mtu wangu.
No comments:
Post a Comment
paulmkale