‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yaingia kwenye Official African Chart ya MTV Base

Joh Makini anang’arisha tena Tanzania kupitia hit yake mpya Nusu Nusu ambayo ilifanyiwa video nchini Africa Kusini. Sasa video hii imeshika namba nane kwenye wiki ya kwanza kwenye chart za video za Afrika kwenye kituo cha Mtv Base.

No comments:

Post a Comment

paulmkale