For real...Ally Kiba hajafollow Mtu hata Mmoja Instagram.

Mastaa wengi wana Account za Social Networks mbalimbali, hii ni nzuri sana kwa ajili ya kuwatangaza mbali zaidi ndani na nje ya nchi.Katika pitapita zangu kwenye Mitandao nikakutana na account ya Ally Kiba katika mtandao wa Instagram, Kilichonishangaza ni kwamba Ally Kiba hajamfollow mtu hata mmoja katika Account yake hii ya Instagram,  Inaweza ikawa Ally Kiba ndo msanii pekee ambae katika account yake Instagram

No comments:

Post a Comment

paulmkale