Linah kuachia video ya wimbo wake mpya baada ya Ramadhan

Kupitia kampuni linalomsimamia la Panamusiq wamesema kuwa Linah Sanga baada ya mwzi huu mtukufu wa Ramadhani Anaachia rasmi video na audio mpya.Video iko tayari ameshoot Dir kutoka Africa Kusini GodFather Production.

No comments:

Post a Comment

paulmkale