MAPENZI YAMEROGWA : Movie Mpya Ya Wema Sepetu Ipo Madukani Pata Nakala Yako Sasa
Kata
kiu yako kwa kununua nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko
madukani kote Tanzania nzima….unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa
jasho wema sepetu??unataka kuona casting director Aunty Ezekile
alivyofanikisha kazi yake??basi usichoke kuangalia mirindimo ya Riyama
na Faudhia walivyomtoa ndani Hemedy
PHD bila kuaga baada ya kumfukuza mkewe fontana…..utakipenda kipondo
alichopewa Fontana na Wema Sepetu akishirikiana na mumewe Treze ni
balaaaa humo ndani……
No comments:
Post a Comment
paulmkale