Rapper kutoka Tamaduni Music hapa Tz anaye tambulika kwa jina la Songa
kwenye Tasnia ya muziki wa kizazi kipya ameachia single yake mpya ‘Hisia
za moyoni’ feat. Double. Hivyo ukiwa kama shabiki mzuri wa muziki wa
Hip Hop, basi chukua time hii kudownload na kusikiliza hii ngoma bila
kusahau maoni yako hapa.
No comments:
Post a Comment
paulmkale