New Video: Ice Prince Zamani - Marry You (Official Video)

Kutoka kwenye lebel moja na Victria Kimani, hii video ya msanii Ice Prince ‘Marry You’. Hivi karibuni Ice Price alifanya wimbo na msanii mtanzania Jokate.
Bonyeza play kuitazama video na Ukiweza nipe mtazamo wako kuhusu video

No comments:

Post a Comment

paulmkale