New Video: Kat DeLuna ft. Trey Songz - Bum Bum (Official Video)

Kwenye video hii Kat Deluna ni mtupu kabisa kwenye baadhi ya shot alizopigwa na muongozaji wa video hii.  Wimbo kashirikishwa Trey Songz. “Bum Bum” ipo kwenye album mpya ya Kat ‘Inside Out’ . Ni album yake ya kwanza toka 2010.

No comments:

Post a Comment

paulmkale