Ali Kiba kuja na collabo ya kimataifa mwaka huu..

Muimbaji wa ‘Chekecha Cheketua’, Alikiba ambaye yuko Nairobi, Kenya kwenye msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Africa, ametoa ahadi kwa mashabiki wake juu ya collabo ya kimataifa.Hivi ndivyo alivyokuwa akichat na mashabiki wake.
Unazani ni msanii gani wa kimataifa ambaye atafanya nae collabo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale