ya kufanya vizuri na track yao ya Nakuitaji
sasa wamerejea studio kupika jiwe lingine na
producer C9.

vijana wa Malaika band na musema kuwa
baada ya mfungo wa Ramadhani kuisha
wataachia kazi hiyo.
"Ndani ya C9 Record na Malaika music band
baada ya mwezi mtukufu mambo mazuri
mtayasikia" Aliandika Christian Bella.
Bella kupitia Instagram alipost picha akiwa na
No comments:
Post a Comment
paulmkale