New Video: D'Banj ft. Driis + Shadow Boxxer - Confidential (Official Video)
Mshindi wa tuzo ya ‘MAMA Evolution’2015, D’Banj ameachia video mpya ya
wimbo uitwao ‘Confidential’. Katika wimbo huu Bangalee amemshirikisha
muigizaji wa Uingereza Idris Elba a.k.a Driis pamoja na Shadow Boxer. Video
hii isiyokuwa na rangi (black and white) imeongozwa na Thomas Ikimi.
No comments:
Post a Comment
paulmkale