Usiku wa kuamkia tarehe 19, August 2015, jijini Nairobi nchini Kenya,
historia mpya imetengenezwa katika kiwanda cha muziki wa Afrika
Mashariki. Wasanii wa Kenya Sauti Sol na mwanamuziki kutoka Tanzania,
Alikiba wamekamilisha wimbo wao wa pamoja waliotangaza kuufanya wiki
kadhaa zilizopita. Alikiba akiwasilia studio na team yake tayari kuanza kurekodi na Sauti Sol
No comments:
Post a Comment
paulmkale