Alikiba na Christian Bella - Nagharamia (Kionjo)

Christian Bella amesema wimbo aliofanya na Alikiba ‘Nagharamia’ utachelewa kuachiwa kwakuwa walikubaliana kuanza na video. Bella amesema wameamua kuonjesha tu wimbo huo ili kuwatoa hofu mashabiki wanaoisubiria kazi hiyo kuwathibitisha kuwa ni kweli wameshaurekodi. “Tulikubaliana kushoot video ndio tutoe kazi,” amesema Belle. “Kwahiyo hatujapata nafasi ya kushoot video. Labda tutaondoka Jumatatu kwenda kushoot video tumejipanga vizuri

No comments:

Post a Comment

paulmkale