New Video: Chris Brown - Fine By Me (Official Video)

Stori ya video hii inaanzia pale ilipoishia stori ya single ya awali Liquor/Zero ambapo time hii Chris Brown anaonekana anatoka kwenye duka na marafiki zake na ghafla anakutana na mdada mrembo anaemshawishi amfuate anakoelekea, baada ya hapo Chris anaonekana akibalisha nguo kisha anapokea vitisho kwa mtu asiyemjua kwenye screen kubwa ya TV… Kinachofuata?Kudaka muendelezo wa stori nzima, bonyeza play hapa chini ikupeleke moja kwa moja kuzitazama dakika tano za kinachotokea mbele ya safari.

No comments:

Post a Comment

paulmkale