Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake amesema.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake.
No comments:
Post a Comment
paulmkale