Manchester
City imejiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele hadi hatua ya
robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Dynamo Kiev kwa
mabao 3-1 ikiwa nyumbani.
Pamoja
na kuonyesha soka safi ikiwa nyumbani, Dynamo Kiev imeshindwa kuonyesha
cheche mbele ya wageni wake na kukubali kipigo hicho.
Kwa
upande wa City, shukurani kwa Sergio Aguero aliyepachika bao katika
dakika ya 15 na David Silva na Yaya Toure waliopachika mawili katika
kipindi cha pili.
Dynamo Kiev starting XI :
Shovkovskiy,
Danilo Silva (Makarenko), Dragovic, Vida, Khacheridi, Rybalka, Garmash
(Miguel Veloso), Gonzalez, Buyalskiy, Yarmolenko, Teodorczyk (Junior
Moraes)
Dynamo Kiev subs: Rudko, Petrovic, Korzun, Gusev
Manchester City starting XI:
Hart, Sagna, Kompany, Otamendi, Clichy, Fernando, Fernandinho, Toure, Silva, Sterling, Aguero
Man City subs: Caballero, Demichelis, Zabaleta, Mangala, Kolarov, M.Garcia, Iheanacho
PSV Vs Atletico Madrid
Mechi
nyingine ilikuwa ni kati ya PSV ya Uholanzi waliokuwa nyumbani dhidi ya
Atletico Madrid na mechi imeisha kwa sare ya bila kufungana.
No comments:
Post a Comment
paulmkale