MSANII
anayekuja kwa kasi kunako muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdulkhali
‘Harmonize’ amefungukia ‘kichupa’ chake kipya alichofanya na staa wa
muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuwa aliyehusika kukitengeneza ni
Dairekta Nicky kutoka Sauz.
Akipiga
stori na Showbiz Xtra, Harmonize anayebamba kwa sasa na Ngoma ya Bado
alisema kuwa dairekta huyo ndiye aliyehusika pia kwenye kichupa cha
Diamond akiwa na AKA wa Afrika Kusini kijulikanacho kama Make Me Sing.
“Ni
mapema sana kuongelea gharama kwa kichupa hicho kwa sasa lakini
niwaambie tu mashabiki imepangiliwa na dairekta Nicky kutoka Sauz,”
alisema.
No comments:
Post a Comment
paulmkale