Ni
kwasababu kwa sasa video hiyo iliyoongozwa na Mejji Alabi inachezwa
kupitia kituo cha TV cha MTV Base peke yake. Na huenda makubaliano ya
exclusivity kati ya kituo hicho cha runinga na uongozi wa Kiba ni video
hiyo kuchezwa kwa kipindi cha wiki nzima na wao tu.
No comments:
Post a Comment
paulmkale