
Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengi. Zimesikika single zake kadhaa ikiwemo Napata Raha,Nitasubiri ,Uzuri wako, Sisikiii na nyinginezo, sasa time hii ametusogezea hii single yake mpya iitwayo Wivu imetayarishwa chini ya producer Bob Manecky.
No comments:
Post a Comment
paulmkale