New Music: Professor Jay Ft. Sholo Mwamba – Kazi Kazi | Mp3 Download

Ngoma mpya na ya kwanza ya Professor Jay tangu achaguliwe kuwa mbunge na kuingia mjengoni Dodoma mwaka jana. Nyimbo inaitwa Kazi Kazi na amemshirikisha muimbaji wa Singeli Sholo Mwamba. SIKILIZA HAPA CHINI
mp3

No comments:

Post a Comment

paulmkale