New Video: Joh Makini Ft. Chidinma - Perfect Combo (Official Video) | Mp4 Download
Ni mwanahiphop kutoka Tanzania Joh Makini kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya single yake inaitwa Perfect Combo ambayo kamshirikisha mwimbaji maarufu wa Nigeria anaitwa Chidinma, ukishaitazama hapa chini usiache kutoa neno lako ili Joh akipita baadae aone watu wake wanasemaje kwenye comments.
No comments:
Post a Comment
paulmkale