Mwanamuziki Davido Arekodi Na Producer Wa Justin Bieber na kumshilikisha Justin Bieber
Davido amethibitisha kufanya kazi na mtayarishaji mkubwa wa muziki kutoka
nchini Ufaransa, Dj Snake.
[image: mariah-carey-essence]
Dj Snake ni mmoja kati ya watayarishaji wa muziki maarufu duniani na tayari
ameshafanya kazi na mastaa wakubwa akiwemo Kanye West, Lil Jon, Lady Gaga
na wengine wengi lakini pia ameshawahi kushirikishwa kwenye kuwania kuwania
tuzo kadhaa kubwa ikiwemo ya Grammy.
No comments:
Post a Comment
paulmkale